
Jimbo la Tambarare
Jimbo la Tambarare ni mojawapoya Majimbo matatu ya KKKT Dayosisi ya Pare. Sehemu kubwa Jimbo linahudumu katika maeneo ya Tambarare ya Wilaya ya Same

Jimbo la Mashariki
Jimbo la Mashariki ni mojawapo ya Majimbo matatu ya KKKT Dayosisi ya Pare kwa sehemu kubwa Jimbo linahudumu katika maeneo ya milimani mwa Wilaya ya Same.

Jimbo la Magharibi
Jimbo la Maghaibi ni mojawapo ya Majimbo matatu ya KKKT Dayosisi ya Pare kwa sehemu kubwa Jimbo linahudumu katika maeneo ya milimani mwa Wilaya ya Same




Our Hostel
Aman Hostel ni kituo cha Dayosisi kinachotoa Huduma nzuri za Malazi, Chakula/Vinywaji na Huduma za Ukumbi.


