Skip to content

Semina ya Wachungaji na Wenzi wao.

Mhe Baba Askofu Charles Rabson Mjema Leo Tarehe 11 Juni 2024, amefungua Rasmi Semina ya Wachungaji na Wenzi wao, Semina Hii itakuwa ya Siku 4 na yanafanyika Mkoani Morogoro, Kata Kilakala.

Semina hii ni kwa wachungaji wote wa Dayosisi ya Pare waliopo Kazini.

Semina hii inafanyika kwa Ushirikiano na Taasisi ya Uongozi na Uchungaji ya Kimataifa (Pastoral Leadership Institute International), Ikiwa ni mwaka wa Tatu Mfululizo semina hii ikiwa inafanyika kwa Wachungaji na wenza wao.