Ibada ya Kustaafu kwa Mch. E. Mlemba
Mhe Baba Askofu Charles Rabson Mjema akiwa katika Ibada Maalumu ya Kumstaafisha Mchungaji Elinkanileka Mlemba iliyofanyika Katika Usharika wa Tae Jimbo la Tambarare.. Ibada hiyo ilihudhuriwa na Wachungaji na Wakuu wa Majimbo kutoka Jimbo la Tambarare Mch. Itikija Kizinga, Jimbo… Read More »Ibada ya Kustaafu kwa Mch. E. Mlemba

