Semina ya Wachungaji na Wenzi wao.

Mhe Baba Askofu Charles Rabson Mjema Leo Tarehe 11 Juni 2024, amefungua Rasmi Semina ya Wachungaji na Wenzi wao, Semina Hii itakuwa ya Siku 4 na yanafanyika Mkoani Morogoro, Kata Kilakala. Semina hii ni kwa wachungaji wote wa Dayosisi ya Pare waliopo Kazini. Semina hii inafanyika kwa Ushirikiano na Taasisi ya Uongozi na Uchungaji ya … Continue reading Semina ya Wachungaji na Wenzi wao.